Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe
akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya
kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili
imeuliza masuala mazito na maswali magumu yanayohusiana na uvunjaji wa
maadili ya uongozi wa chama.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza
na waandishi wa habari baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya
Maadili ya CCM mjini Dodoma leo Februari 16,2014.
-GPL