Polisi mkoani Iringa wakiwa wameuzua msafara wa mgombea
ubunge jimbo la Kalenga, Bi Grace Tendega kupitia Chadema kwa madai
hawakuwa na kibali cha kufanya maandamano hayo ya magari hapa ni
eneo la lango la mji Samora ambapo msafara huo ulikuwa ukitokea maeneo
la Ndiuka kuelekea kwa msimamizi wa uchaguzi ili kuchukua fomu.
Mgombea ubunge wa Chadema Kalenga, Grace Tendega baada ya kuruhusiwa gari lake kupita
Hapa polisi wakimtazama mgombea huyo akipita mbele yao
PICHA NA FRANCIS GODWIN