BREAKING NEWS::: MAFURIKO MAKUBWA YATOKEA MTO LUKULEDI YAWAKUMBA WAKAZI WA NACHINGWEA, RUANGWA NA NAMANGALE

breaking-news_news
Mafuriko Makubwa mto Lukuledi Wananchi wako Juu ya Miti Wilaya za Nachingwea,Ruangwa,Namangale,Sasa Maji yapo Nyangao Kasi ya Ajabu wenye mawasiliano wawapigie ndugu zao walio mashambani watoke haraka kuanzia nyangao,mtama mtua kiwalala etcWatu wawili wanasadikiwa Kufa na wengine wanajiokoa kwa Kupata Juu ya Miti. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi amethibitisha Tukio hilo Kutokea na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Inafanya juhudi ya Kupeleka Boti Kwa Ajili ya Uokoaji.Endelea Kutembelea Blog Hii Tutazidi Kukujuza Kinachoendelea…


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...