Diamond Platnumz akiwa anapanda jukwaani katika show iliyofanyika Jana Pale coco BeachDiamond Platnumz akiwasiri katika Fukwe ya COCO beach kwa ajili ya Show yake akiwa na baunsa wake kwa ajili ya UsalamaMa Dj wakiweka mambo sawa Kwa ajili ya Show hiyo iliyofanyika katika fukwe ya Coco Beach Mjini Dar es salaamKama ilivyo kawaida yake Watu walifurika Katika Viwanja hivyo kwa ajili ya Kushuhudia Show ya Mkali huyo wa Bongo Fleva akitoa burudani ya NguvuYeah ni Mambo ya Ku ringa ringa Hadi wanadaaaaaata……..
Wingi wa watu uipelekea kutokea Msukumano wa hapa na pale na Kupelekea Hali hii kutokea mara kadhaa…..Diamond akiwapa mashabiki kile alichotaraji kuwapatia katika Show yake hiyo… Ilikuwa ni Burudani ya Aina yake.Team Wasafi wakiwa kazini
PICHA KWA HISANI YA BONGOCLAN