KUAMBIANA: KIPIGO KIMEWAPA ADABU WEMA, AUNT

Stori: Imelda Mtema
‘DAIREKTA’ na muigizaji wa filamu Bongo, Adamu Phillip Kuambiana amefunguka kuwa kitendo cha kuwatia makofi waigizaji Wema Spetu na Aunt Ezekiel kilikuwa cha kiungwana sababu amewafundisha.
Adamu Phillip Kuambiana.
Akipiga stori na paparazi wetu, Kuambiana alisema bila kuwa mkali wakati mwingine mambo huwa hayaendi kwenye uigizaji hivyo anapotembeza kichapo kidogo, mambo yanakwenda katika mstari.
Wema.
“Kipigo kinasaidia, watoto wa kike hawa bila kuwatishia wanafanya wanavyotaka na ukiwaruhusu unaweza kuharibu kazi,  lakini nashukuru wamenielewa, tunapiga kazi,” alisema Kuambiana.
Aunt Ezekiel.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...