Picha zaidi:. Ajali mbaya iliyohusisha magari 6 yatokea Ubungo jijini Dar katika lango kuu la kuingilia mabasi



Ajali mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali hiyo  imehusisha magari 6 likiwemo UDA .Mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.
 
 
 


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...