SNURA WA MAJANGA ANASWA KWA SANGOMA NA JOGOO MWEKUNDU PAMOJA NA TUNGULI, CHEKI PICHA HAPA LIVE

clip_image001Msanii maarufu wa bongo fleva Mama wa Majanga Snura aka Snu Sex afanya mambo ya kustajabisha ambayo hayana longo longo wala nini,Kupitia website yetu ya udaku ya Boss Ngasa tulipata mtonyo kutoka kwa rafiki wa karibu wa snura kuhusu swala la msanii huyu kushiriki ktk swala la ndumba, Kutokana na taarifa hizo mtandao huu ilifanya uchunguzi wa kina kwa kumfwatilia Msanii huyu, ambapo siku ya leo mtego wetu ulinasa kwenye 18 baada Msanii huyo kutinga kwa mganga kwa swaga ambazo hata mtu wake wa karibu ilikuwa vigumu kumtambua, Ila kwa juhudi za matandao huu mpana ulimfumania live snu sex akiwa amebebea Jogoo jekundu akiwasili kwa sangoma na kufanyiwa ndumba. Credit: Boss Ngassa


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...