Mwakilishi
wa walio wachache katika kamati namba tano, Mhe. David Kafulila
akiwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake na
Deusdedit Moshi. Mwakilishi
wa walio wachache katika kamati namba tano, Mhe. David Kafulila
katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe baada ya kuwasilisha
mapendekezo yao.
Mwakilishi
wa walio wachache katika kamati namba tano, Mhe. David Kafulila
katikati akipongezwa na baadhi ya wajumbe baada ya kuwasilisha
mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake.