HATIMAYE P-FUNK MAJANI AFUNGA NDOA SIKU YA JANA, TAZAMA PICHA ZA HARUSI..!!

Hatimaye P-Funk Majani Producer wa muziki wa bongofleva ambaye amedumu katika game karibuni miaka 20 amefunga ndo siku ya jana jijini Arusha, Mke wake huyu anaitwa Hiday, P-funk majana anawatoto watatu mpaka sasa wakwanza ni mkubwa tu kama hujawahi kumona Bofya HAPA na wapili ni aliyezaa na Kajala Masanja na watatu ni mdogo kabisa ambaye yupo katika picha utazoziona hapo chiniMajani akivalishwa Pete na mkewe Hidaya
Majani akimvalisha pete Bi Hidaya

Hidaya na Mtoto mdogo wa Majani


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...