Kaburi la Sheikh Yahya Hussein ambaye alizikwa tarehe 21.5.2011.
Hata hivyo haijajulikana chanzo cha kuvunjwa kwa makaburi hayo.
Wakiongea na Taarifa News baadhi ya wafanyabiashara wa maduka ya vyakula eneo hilo wamedai kuwa, walifika asubuhi na kukuta hali hiyo ya kuvunjwa kwa vibaraza vya maduka yao pamoja na kuvunjwa kwa makaburi hayo mawili ya watu masheikh mashuhuri hapa nchini.
Kaburi la Sheikh Kaseem Bin Juma ambaye alizikwa mwaka 1994.
Mariam amesema anasikitishwa sana kwa kuvunjwa kwa kaburi la Baba yake bila ya sababu ya msingi.
Mtoto
wa Marehem Sheikh Yahya Hussein, Mariam Yahya Hussein akitafakari
jambo kwenye eneo
alilozikwa Baba yake mzazi. Picha na Mariam Mkumbaru.
Credit:
TAARIFA NEWS