Home »
Habari
»
BREAKING NEWSSSS ... WANAFUNZI WA CHUO CHA MZUMBE WAUA MWIZI WA LAPTOP CHUONI MOROGORO
BREAKING NEWSSSS ... WANAFUNZI WA CHUO CHA MZUMBE WAUA MWIZI WA LAPTOP CHUONI MOROGORO
Wanafunzi
wa mzumbe main campus Morogoro wameua mwizi alyeiba laptop kutoka
mabwen mawil tofauti kwa taarifa zaid zinasema uuaji huo umetokea na
hasira kali za wanafunzi hao kuibiwa laptop kila siku na pia mwanzafunz
mwenzao kuvamiwa barabaran na kujeruhiwa na visu siku zilzopita....