Kundi
la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye
mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la
#BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe
kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao
wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake
(Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani
akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo yanavyosema:
@diamondplatnumz mambo vipi? Sisi mashabiki wa @wemasepetu
tunakuomba umsaidie Wema kama yeye anavyokusaidia. Labda niseme kwa
uwazi bila woga kwamba mahali ulipo kimziki umefika sababu ya Wema.
Wengine hatukuwa mashabiki wako lkn sababu ya mapenzi kwa Wema
tukajilazimisha kukupenda tu… so unajua vema bila wema we mziki huna!SOMA ZAIDI>>
Tunakuteteaga tu lkn huwezi kujilinganisha na wanamuziki wengine
tunaowajua wanafanya vema kuliko wewe….leo sitawataja majina! nije kwa
point yangu sasa wewe si mwanaume? Tuoneshe sasa! “Umetembea tembea nchi
mbalimbali” umekutana na watu wa aina mbali, hujamtambulisha wema huko
kibiashara, unaishia kusema maneno maneno ya sifa lkn unamwacha Wema
anapotea.
Angekuwa Wema she’s always proud of you kukutaja popote hata
angepata ile nafasi ya kuongea na Karuache angekutaja, umeonana na kina
Davido+Iyayna bila kutaja waigizaji wakubwa Nigeria…Wema ni brand
tunamlinganisha na top stars Africa!! We una nafasi kubwa sana kumfanya
Wema aonekane..but what your doing unampoteza kwa makusudi. Unamchezesha
viduku, Ulipomwacha alikuwa na maendeleo makubwa alikua ameshatengeneza
wanamuziki wake, nyumba yake, kipindi chake cha in my shoes kilianza
bila mkono wako. Ukaona hapa atakuzidi na unajua jinsi anavokupenda
ukamtumi, hujawahi kusema hadharan feelings zako kwake zaidi ya mafumbo
mafumbo
Hujawahi kukanusha ile interview ya spora uliyomdiss vibaya Wema….
Je tueleweje sasa? Si lazima kuanika kila kitu mambo yenu
binafsi. Wema haoni kwa sasa sababu ya mapenzi yake kwako…tunakuambia
leo kama hauna nia nzuri na Wema tunakuomba umuache. Maana unajua tu
akimpigia promo mwanamuziki wake Mirror utapotea kwa game. She has all
this power tunaomba usimtumie kwa maslahi yako binafsi.
#bringbackourwema.
Haya ni maoni ya wengine:
lula_marii
Daaaaaaah kwa ukweliii wema unalegealegea ..yaani how comes you
don’t have any respect from da guy who claims to love yuh?anawezaje
kushikashika na kusugulia madem haswaaa ukiwa na yy kwa stage…juzi
fiesta everyone saw wat diamond did with linah…wit out even thinking of
da feelings of our madam…booooo pliz dnt say that is his
professionals…coz its only singing that is his
profsional…..@wemasepetu.open ur eyes….@diamondplatnumz pliiiiiz wit all
due respect ,achaaa tabia za utoto
bintijasho
Siku nyingi nilikua nataka kusema hichi kitu lakini leo
@mrekebishatabia umesemakweli kabisa @diamondplatnumz anaakili san
amepinga hesabu akaona wema anamsanii wake nawema anamashabiki wengi
alijua tu mirror atakuja kua juu sasa akaona heri arudia na wema apate
kumvuringia mipango yake wallah na muonea huru huyu mdogowangu maski
yana siku hizi hata mirror simsikii akimtaja @mrekebishatabia umefanya
jambo zuri sana l hope @wemasepetu ataupata ujumbe wako
gennomaxmillan
@diamondplatnumz ww sio mwanammebora kwa wema bali n kvuli cha
mwanamme japo mm n nwananch wa kawaida sio star lkn bby wangu kanpa
maisha mazur na tunafamilia yenyefuraha.@mekebishatabia maisha ya wema
hayavutii kbsa haelewek na ni kwel kbsa biła wema huyo jamaa alkuwa
hajui ata kuomba maji kwa kizungu chek wema kajitoa kampa darasa badała
alipe fazla anakaz ya kujtangaza na kutukandamizia mdogowetu@wemasepetu
mm nakapenda sana kawema ni kazr lkn huwa hakubali ukwel ebu kataa
kuanikwa kwa magazet ish kama wakna monalisa jack happy magese nancy
angel damas na wengne weng ambao walpata kujulkana kama ww mbona maisha
yataenda tu humuon mama krsh alivyo sasa eti mpnz ebu tazama alipo uwoya
ameona bora kuish kawaida na bado yupo vzr sana huwez jua kama n mama
wa jembe@uwoya kaa na .mwenzako bby anapotea
dougiemasta14
lawama zang mm zinaenda kwa @diamondplatnumz ni mtu ambae
ntamlaumu milele kubadilika kwa wema hiv dai unajiskiaje mwanamke wako
akipanda juu ya stage nakuanza kukata viuona chini yake kuna maelf ya
watu wanamshangilia hiv unajua kuna wangapi wanao mtamani? Kuna wengine
wakimuona tu wema huko chin hatr...dai srry for saying dis but in
another point ww ndie unae mrudisha wema nyuma kuna muda huwa najiulize
do u real love her ss hapa hamjaona ukishamua sindo tunampoteza
kabisa...kwa ninavyo jua mpnz wako ndio mshaur wako wakwanz lakin ss
mpnz ww uko busy kumshaur akacheze show for real...ok iko wap ile movie
yenu ya china kila siku coming soon yan mnafanya watu wawaoneni waongo
na hamna akili me vipo vingi navijua sema kwa heshima ya wema naonaga
nijikaliege kimya..mm najua dai huskindwi kumkatia wema ticket uende nae
out de country since merudiana tunaona post za wema kukununulia vitu
but I had nvr seen ww kumfanyia wema something is dis wat u call love? O
kunyonyana kimya kimya we kama mwanaume huwez mruhus mwanamke wako
anaenda kweny vigodoro kufanya nn ss...wema if giving u makavu will help
u to realise that we want dat am ready to start giving u makavu ...dont
make ppo loss interest with u kutupenda sio kusema na kutuchezea show
but kuonesha but listen to wat we want...ss tutaanza kukuchapa fimbo na
leo hii me natangaza @martinkadinda nakuingilia kazii yakooo ss tutaanza
kwenda kitemi maana kimya kimya hatuelewani...baadae ntarud kwa nyie
washabikiii