WASANII WATUA BUKOBA TAYARI KWA UFUNGUZI WA FIESTA 2014 LEO UWANJA WA KAITABA

Msanii OMMY DIMPOZ na wenzake wakishuka kwenye Ndege aina ya Precision leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba tayari kwa kukamua vilivyo katika mwendelezo wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta, Tamasha linalotarajiwa kufanyika leo Ijumaa kwenye uwanja wa Kaitaba hapa Bukoba.
Wasanii hao pamoja na watangazaji na wafanyakazi wengine wameingiatayari Bukoba wakitokea jijini Mwanza. Picha na Faustine Ruta wa bukobasports.com
Wasanii wakishuka kwenye Ndege tayari kwa Fiesta kesho Ijumaa.
Chistian Bella huyoo langoni mwa pipa.
 Salaam za Bella kwa ardhi ya Bk.
Christian Bella akikaribishwa na Mwenyekiti wa kamati ya jukwaa la wasanii Hamza.
Dj Ziro langoni mwa ndege akiwa na mwanadada mtangazaji wa Clouds Tv Shadee mbele.
Karibu bhana.
Msanii wa Bongoflava Jux.
Ney wa Mitego.
Barnaba.
Barnaba mbele akifuatiwa na Madee na Fiesta Crew.
Willy Kiroyera (kushoto, akiteta jambo na Ruge Mutaaba kwenye Uwanja wa Ndege 
Katika Picha ya Pamoja
Tayarikwa Makamuzi ya Fiesta 2014 hapo leo Ijumaa
Fiesta 2014 Mjini Bukoba itakuwa balaa!! Wasanii wakitokelezea huku wakishoo lavu tayari kwa  Fiesta leo
chanzo:matukio-michuzi.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...