FIFA YATAJA WACHEZAJI 10 WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA KOMBE LA DUNIA 2014

Orodha kamili:
Kiungo wa timu ya taifa ya Argentina, Ángel Fabián Di María Hernández.
Beki wa timu ya taifa ya Ujerumani.
Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi.
Kiungo wa timu ya Ujerumani, Toni Kroos.
Beki na Kiungo mkabaji wa timu ya Ujerumani, Philipp Lahm.
Kiungo wa timu ya Argentina, Javier Mascherano.
Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Ujerumani, Thomas Muller.
Mshambuliaji wa timu ya Brazil, Neymar.
Mshambuliaji wa timu ya Uholanzi, Arjen Robben.
Mshambuliaji wa Colombia, James Rodriguez.
Haya ni majina ya washindi wa tuzo hiyo katika mashindano ya Kombe la FIFA la dunia miaka iliyopita:
1982 FIFA World Cup Spain: Paolo Rossi (Italy)
1986 FIFA World Cup Mexico: Diego Maradona (Argentina)
1990 FIFA World Cup Italy: Salvatore Schillaci (Italy)
1994 FIFA World Cup USA: Romario (Brazil)
1998 FIFA World Cup France: Ronaldo (Brazil)
2002 FIFA World Cup Korea/Japan: Oliver Kahn (Germany)
2006 FIFA World Cup Germany: Zinedine Zidane (France)
2010 FIFA World Cup South Africa: Diego Forlan (Uruguay)


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...