MTANGAZAJI wa
DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amewashtua mashabiki wake baada ya kutupia
picha kwenye mtandao wa Instagram ikionesha sehemu kubwa ya tumbo lake
likiwa wazi. Kma hukuona picha hiyo basi Bofya >>>HAPA<<
“Nimeanza mazoezi ya nguvu sana na tayari nimeshapungua karibu kilo 10, nimefanya hivyo kwa nia ya kuuweka sawa mwili wangu, nisieleweke vibaya,” alisema Penny.