PICHA 3:HIVI NDIVYO ILIVYOKUA RAY C ALIVYO MTEMBELEA IBRA DA HUSTLER WA NAKO2NAKO KATIKA KITUO CHA WALIOATHIRIWA NA MADAWA YA KULEVYA KIGAMBONI


Rehema Chalamila ‘Ray C’ baada ya mchakato wakutafuta logo kwa ajili ya foundation yake ya kupambana na kusaidia vijana wasiingie kwenye matumizi ya dawa za kulevya hatimaye ameanza kazi.
Ray C ametembelea kituo cha vijana walioamua kuachana na matumizi ya dawa za kulevya na tabia hatarishi huko Kigamboni ambapo kwenye kituo hicho Ray C alikutana na msanii aliyekua wa Nako II Nako Ibra Da
Hustler.
Ibra yupo kwenye kituo hicho na vijana wengine walioachana matumizi ya dawa za kulevya ambapo Ray C amemuhoji hivyo hiyo interview itaonekana kwenye program inayoandaliwa na foundation yake.






Ibra akiwa na Ray C.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...