SKENDO MADAWA YA KULEVYA YAMNYOOSHA MASOGANGE

Stori: Mwandishi Wetu
VIDEO Queen maarufu Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amekuwa makini na kusafiri kwa tahadhari kubwa baada ya kunusurika kwenye msala wa madawa yaliyodaiwa kuwa ni ya kulevya nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ mwaka jana.
Video Queen maarufu Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’.
Masogange alisema kwa sasa akipewa begi na mtu yeyote lazima alikague kwani hakufanya hivyo alivyokamatwa awali.
“Nimekoma kwa sasa mtu hawezi kunipa begi halafu nikamsaidia bila kulikagua, nasachi mara mbilimbili,” alisema Masogange.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...