SPURS YAIKANDAMIZA SUNDERLAND 5-1, ADEBAYOR APIGA MBILI

Back of the net: Tottenham striker Emmanuel Adebayor (left) bundles the ball in to make it 1-1

Mshambuliaji wa Tottenham Emmanuel Adebayor (kushoto) akifunga bao la kwanza la kusawazisha na kufanya ubao usomeke 1-1
Pick that out: Sunderland goalkeeper Vito Mannone (right) can only watch as Adebayor's effort nestles into the bottom corner
Mpira kambani: Mlinda mlango wa Sunderland Vito Mannone (kulia) akiushangaa mpira uliozamishwa nyavuni na Adebayor
Main man: Adebayor runs off to celebrate his equaliser in front of the home fans
Nyota wa mchezo: Adebayor akishangilia bao lake la kusawazisha
Respect: Spurs boss Tim Sherwood (right) returns Adebayor's trademark salute celebration after the striker's second goal
Heshima: Kocha wa SpursTim Sherwood (kulia)  akimpigia saluti Adebayor baada ya kufunga bao la pili.

TOTTENHAM imeishushia kipigo kizito cha mabao 5-1 klabu ya Sunderland katika mchezo wa ligi kuu soka nchini England usiku huu.

Kocha mkuu wa Spurs,  Tim Sherwood amebaki ameduwaa baada ya vijana wake kuonesha soka safi wakati yeye yuko mbioni kuondolewa katika wadhifa huo.

Spurs tayari wameshatangaza kuwa mwishoni mwa msimu Sherwood hataendelea kuwa kocha mkuu, badala yake wanamhitaji Van Gaal ambaye ni kocha wa timu ya Taifa ya Uholanzi.
Mabosi wa Spurs wanataka kukifanyia maboresho makubwa kikosi chao majira ya kiangazi mwaka huu.

Shukurani zimwendee mshambuliaji raia wa Togo,  Emmanuel Adebayor aliyefunga mabao mawili, huku mengine yakitiwa kambani  na Harry Kane, Christian Eriksen na  Gylfi Sigurdsson.

Baada ya matokeo ya mechi zote wikiendi iliyopita na leo usiku, timu kumi  bora katika msimamo hizi hapa chini;


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...