TAZAMA PICHA JINSI SHOW ROOM YA MAGARI KARIBU NA MLIMANI CITY ILIVYOUNGUA MOTO

Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha hasara ambayo bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika.
Magari yakiwa yameteketea kwa moto

Hapa moto ulikuwa ndiyo umeanza kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...