TOBAAA...!!! LULU NAE AACHIA KIFUA WAZI KUDADADEKI. JIONEE MWENYEWE. INSTA KUNA MAMBO LOL...!!!

Jana kupitia mtandao wa kijamii Diva wa Clouds fm aliachia picha iliyoonyesha kifua chake na kuzua maneno kwa mashabiki na kubaki wakijiuliza kwanii huwa wanafanya hivyo. kama hukuona alichopost Diva siku ya jana bofya HAPA. leo Lulu naye ameamua kujibu mapigo kwa kuachia picha inayofanana sana na ya Diva aliyopachia hapo jana.
Siku hizi imekuwa ni fasheni sana kwa wasanii kujiachia maungo yao wazi na kusahau kuwa wao ni kioo cha jamii.  Mdau una maoni gani kuhusu hii swala??

Credit: Swahilitz


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...