KUMBE SALAMA JABIRI ANA COPY NA KUPASTE KUTOKA KWA HUYU MTANGAZAJI MAARUFU WA MAREKANI

Hii kitu niliisikia.. ..nikaamua kuifuatilia kidogo...Salama Jabiri aka Salama J nadhani wengi hapa Bongo tunamuelewa... IN SHORT kwasasa ni ana HOST kipindi cha MKASI kinachorushwa na EATV...Nilisikia jamaa wakisema (Hapa kijiweni Kwetu) kuwa Salama anamuiga karibu kila kitu huyu mwana mama anayeitwa Ellen DeGeneres.
Ellen DeGeneres (1958) ni mtangazaji wa TV, Muandishi, Muigizaji, na vilevile ni mchekeshaji raia wa Marekani..(Kiukweli kwa mara ya kwanza nilimuona akiwa kama HOST wa Oscar Academy Awards 2014)
Ellen DeGeneres (1958) ni mtangazaji wa TV, Muandishi, Muigizaji, na vilevile ni mchekeshaji raia wa Marekani..(Kiukweli kwa mara ya kwanza nilimuona akiwa kama HOST wa Oscar Academy Awards 2014)

Kufanana kwao: Wote ni wanawake, wanaofanya kazi kwenye tasnia moja (TV personalities) Salama akiwa kwasasa ana HOST mkasi (anahoji watu maarufu) Ellen DeGeneres naye ana HOST  Ellen DeGeneres Show (anahoji watu maarufu) 
Hii sio ishu sana...Ishu ipo hapa (Mavazi na Vituko) 
Mavazi: Wote wawili  wanependa kuwvaa mavazi ya kiume....(Kwamtazano wangu)
Umegundua kitu hapo....Hawavai mkanda ATI!

Credit: Domo Zege

Related Posts

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...