ANGALIA SHILOLE MJINI DODOMA,APIGA SARAKASI JUKWAANI





Katika show iliyofanyika mjini Dodoma Shilole aliweza kuamsha wakazi wa Dodoma na Kuonyesha Upendo baada ya kukata mauno na kuachia shanga zake nje nje, Vile vile mzuka ulimpanda na kupiga sarakasi huku meza kuu wakiwa wamekaa wageni Rasmi wakiwemo viongozi mbali mbali wa Nchi; CDT bossngasaTz.com


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...