Alipokuwa akihojiwa amedai ametoka Bariadi lakini wenzie aliokuwa nao walimshusha baada ya kutokea ugomvi.
Amedai
walikuwa wanne kwenye safari yao hata hivyo wapo wengine waliosema kuwa
ni mgonjwa akili na tangu jana amekuwa akionekana maeneo ya hospitali
ya sekoutoure akiranda randa.
Mpaka
naondoka eneo hilo Polisi walikuwa wamefika ili kutoa msaada kutokana
na kundi la watu waliokuwa wamemzunguka na baadhi yao wakitaka apigwe
kwa madai ni mchawi.
Hapa chini ni baadhi ya picha zake.
Akiongea huku akichorachora chini.
Akihojiwa na watu
Hapa muda mchache baada ya kukutwa na Camera ya Kijukuu blog.
Kundi la watu wakimshangaa bibi