HII NDIO TAARIFA ALIYO ITOA WEMA SEPETU KUHUSU UJAUZITO WAKE

Screen Shot 2014-06-16 at 4.15.25 PM
Staa wa movie Tanzania a.k.a Mrs. Diamond Platnumz ameamua kuandika ukweli kuhusu stori ulizosikia kwamba kwa sasa ni mjamzito…

Screen Shot 2014-06-16 at 4.15.25 PM

Kupitia page yake ya instagram Wema ameandika ‘Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant…. sijui watu wanatolea wapi… Im NAT… Dah… I wish I was… But im nat wapenzi wangu’
Screen Shot 2014-06-16 at 4.15.38 PM


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...