MAREHEMU GEORGE TYSON KUAGWA LEADERS CLUB, KUZIKWA KWAO KISUMU NCHINI KENYA. Unknown 9:24 AM Mwili wa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa mazishi. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Tyson atazikwa Kisumu, Kenya Juni 7 mwaka huu. Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+ Related PostsNBC CEO named Business Woman of the Year 2013Kenya: Over 50 Killed in Kenyan Hostage StandoffMwinyi calls on youth to advocate for, keep peace194 illegal immigrants declared stateless citizensNigeria: Female Condom - Nigerian Women Yet to Embrace Usage Satellite tracking for endangered wildlife