PICHA 28 ZA MAZIKO YA MAREHEMU MZEE SMALL KATIKA MAKABURI YA SEGEREA JIJINI

 Jeneza lenye mwili wa marehemu Saidi Ngamba "Mzee Small"
 Waomolezaji
 Mzee jangala akimzungumzia marehemu Mzee Small
 Senga akimzungumzia Mzee Small

 Msanii Hasim Kambi akielezea alivyomfahamu marehemu
 
Mkwere akimzungumzia marehemu Small
Jb akimzungumzia marehemu Mzee Small
Richie akimzungumzia marehemu Mzee Small
 Jirani akimzungumzia Marehemu Mzee Samall

 Kaburi likisubiri mwili wa marehemu
 Mwili wa marehemu ukiwasili katika makaburi ya tabata Segerea jijini Dar

 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza hilo


 Maziko yakiendelea

 Wanahabari wakifuatilia maziko hayo ya Mzee Small
 Udongo ukiwekwa kaburini
Maziko yakiendelea
Shehe akiongoza dua kaburini kwa marehemu Mzee Small

 Watoto wa marehemu Mzee Small wakiwa makaburini na simanzi ya kuondokewa na baba yao mpendwa
Hili ndilo kaburi la marehemu Mzee Small.Picha Zote na Edwin Moshi wa Eddy Blog


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...