Modo
wa Tanzania anayejulikana kwa jina la Calisah ambaye amewahi kushiriki
Mr.Tanzania 2013-2014 ameandika picha za kimahaba katika picha za msanii
maarufu wa filamu, Jackline Wolper ‘Gambe’… “Umenifanya nisitamani mwanamke yeyote katika dunia hii. Nakupenda sana Wolper
Gambe wangu coz i get everything from you.I love you kamdoli kangu,
kichuna changu,” hayo ndo maneno ya kimahaba aliyoyaandika na kumtumia
Wolper.