Home »
Uncategories »
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA SRI LANKA, POLAND NA ROMANIA LEO
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA SRI LANKA, POLAND NA ROMANIA LEO
Unknown
11:10 AM
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa
Sri Lanka nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Dkt
Velupilai Kananathan kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar
es salaam leo July 3, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Sri Lanka nchini Tanzania
mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Dkt Velupilai Kananathan
baada ya kupokea hati yake ya utambulisho kwenye sherehe fupi
zzilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa
Poland nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.
Marek Zial Kowski kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo July 3, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe Balozi wa Poland nchini
Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe. Marek Zial
Kowski kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
July 3, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Poland nchini Tanzania
mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe. Marek Zial Kowski baada
ya kupokea hati yake ya utambulisho kwenye sherehe fupi
zzilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi wa
Romania nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe
Julia Pataki kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam leo July 3, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Romania nchini Tanzania
mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe. Julia Pataki baada ya
kupokea hati yake ya utambulisho kwenye sherehe fupi zzilizofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014
PICHA NA IKULU