HUYU NDIYE MELYVIN MTOTO WA MHE TEMBA

Mtoto wa Mhe. Temba aitwaye Melyvin.
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Amani Temba 'Mhe. Temba' ametoa picha ya  mtoto wake wa kiume aitwaye Melyvin.
Amani Temba ' Mhe. Temba.
Temba alitupia picha hiyo katika akaunti yake ya Instagram jana usiku na kuandika ujumbe wa kumshukuru Mungu na kumkaribisha mwanaye duniani. Ujumbe huo ulisomeka hivi: "Thnx God umenipa mtoto wa kiume. Ma baby boy Melyvin, welcome to the world. NT inamtakia maisha marefu Melyvin.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...