Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es Salaam. |
Mbebaji akiwa amemwangusha dada huyo kwenye dimbwi
Dada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi.
Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwi
Dada akilia baada ya kuokolewa.PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA