
Mtu mmoja jijini Mwanza anadaiwa kukamatwa na kiganja cha mtu akiwa anajiandaa kumuuzia mteja kwa sh million 100.
Washukiwa walikamatwa  jana  karibia na uwanja wa ndege wa Mwanza  wakifanya  biashara  hiyo  haramu.... 
Baada  ya  upekuzi  wa  kina, mteja  alikuwa  ana  milioni  100  na 
mganga alikutwa  na   kiganja cha  binadamu  ambacho kilikuwa  kibichi 
kikitoa damu.
Kiganja  hicho  kilikuwa  kimevishwa  tunguri  na nywele za binadamu.
PICHA NA VIJIMAMBO BLOG 
 

