Home »
Uncategories »
AUA WAWILI NA KUJIUA KWA RISASI ILALA, DAR
AUA WAWILI NA KUJIUA KWA RISASI ILALA, DAR
Unknown
10:00 AM

Mtu
mmoja ambaye bado hajafahamika jina lake amewaua watu wawili kwa
kuwapiga risasi ndani ya gari na kujeruhi mmoja kisha naye akajiua kwa
risasi asubuhi hii jirani na Baa ya Wazee iliyopo Ilala, jijini Dar es
Salaam!
GPL