DK MVUNGI APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU ZAIDI

Dk. Sengondo Mvungi wakati akipelekwa MOI.
Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi leo asubuhi amepelekwa nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi. Dk. Mvungi alijeruhiwa vibaya na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi usiku wa Novemba 2 mwaka huu nyumbani kwake, Kibamba jijini Dar es Salaam na alikuwa akipatiwa matibabu katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika kitengo cha MOI.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...