DK MVUNGI AZIKWA MKOANI KILIMANJARO

Jeneza lenye mwili wa Dkt. Sengondo Mvungi likishushwa kaburini. (Picha na Habarimasai.com)
MWILI wa aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini na Mhadhiri Mwandamzi wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Bagamayo (UB), Dkt. Sengondo Mvungi leo umezikwa kijijini kwao wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro. Dkt. Mvungi
alifariki Novemba 12 mwaka huu akiwa katika Hospitali ya Millpark iliyopo Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa baada ya kuvamiwa na majambazi nyumbani kwake Kibamba.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU DKT. MVUNGI MAHALA PEMA PEPONI. AMEN!


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...