AVUNJIKA MGUU BAADA YA KUGONGWA NA KIBERENGE

 Mabaki ya damu yakiwa yametapakaa kwenye Kiberenge.
Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja akiwa kwenye pikipiki yake jana mchana maeneo ya Banda la Ngozi, Ilala jijini Dar es Salaam amegongwa na Kiberenge na kuvunjika mguu.
Pikipiki ambayo imegongwa na Kiberenge

Kiberenge kikiwa kimeacha njia baada ya ajali.
Askari polisi akichukua maelezo kwa baadhi ya watu walioshuhudia ajali hiyo.
Wananchi wakiishangaa pikipiki katika eneo la tukio.

SOURCE: GPL


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...