Pichani
juu ni taswira za burudani zilizokuwepo katika 'bethidei' ya mwanadada
Halima Kimwana ambaye ni dada wa Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul
'Diamond Platnumz' iliyofanyika ukumbi wa Business Park uliopo Victoria,
Kijitonyama jijini Dar jana.
(PICHA NA WASAFI)