DUH:.MNENGUAJE APANDISHA MASHETANI JUKWAANI, NA KUANZA KULETA BALAA

http://theclicktz.com/

http://theclicktz.com/ 

http://theclicktz.com/ 

http://theclicktz.com/
 Mnenguaje huyu alianza kupandisha mizuka muda mfupi alipopanda jukwaani nakuanza kushasha nguo yake aliyovaa huku akikatikia watu bila kujali, kama inavyo onekana pichani, baadhi ya waangaliaji walihisi aibu hata kumuangalia, na wengine waliamua kuhama viti vyao. Sio kawaida ya mcheza show huyo kufanya kitu kama hicho na hata baadae alipo ulizwa alidai hakumbuki kilichotokea.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...