Timu nzima ya Azam TV Burudani kwa wote itakuwa Unguja na Pemba kuwaletea LIVE mashindano ya Mapinduzi Cup 2014. Timu za Simba, Yanga, Mbeya City, Unguja Combine, Pemba Combine, Chuoni, KMKM, AFC Leopards na Tusker toka Kenya na URA na KCC za Uganda zimethibitisha kushiriki
Ratiba
ya mechi ni mechi tatu kila siku saa 10:00 Jioni, Saa 01:00 Usiku na
saa 02:30 Usiku kuanzia Tarehe 1 Januari 2014 hadi tarehe 13 January
2014