KWELI POMBE SIYO CHAI..!!TAZAMA MREMBO HUYU ALIVYO UMBUKA BAADA YA KUZIDISHA POMBE

Umeneng'enekaaaa... Mwisho wa yote chali..! Tena umshukuru mungu wasomaji wangu hapa BONGOJAMII ni watu wema maana mmh.. Hicho kilongalonga na vijisenti hapo kwenye pochi ungevisikia Redioni, Kama we ni mkristo leo jumapili nenda katubu dhambi hiyo ya kulewa mpaka kupiga chiaz na majani, Na utoe sadaka shost


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...