M4C OPERESHENI PAMOJA DAIMA: DK SLAA, MSIGWA WASHAMBULIA RUVUMA

Katibu Mkuu wa Chadema, Willbroad Slaa akiwasha moto Songea mkoani Ruvuma.
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Peter Msigwa akiongea na wakazi wa Songea mkoani Ruvuma.
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Willbroad Slaa pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa wakitumia usafiri wa anga jana walianza kuwasha moto mkoani Ruvuma katika M4C- Operesheni Pamoja Daima.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...