NEWS ALERT: WATU 6 WARIPOTIWA KUFARIKI KWA KUANGUKIWA NA MACHIMBO YA MORAM WILAYANI KARATU.

Machimbo hayo yako karibu na shule ya Sekondari Mlimani. Hali ni tete ni majonzi kila kona. 

Habari zaidi zinasema kuwa huenda kuna watu zaidi ndani ya machimbo hayo na mkurugenzi wa halmashauri ameagiza grader kwaajili ya kuendelea kufukua zaidi.

Hapa wilayani Karatu hakuna kifaa chochote cha uokozi na wala gari la zima moto hakuna. Watu tunaishi kama tuko shimoni.

R.I.P. Vijana 6 wa kitanzania waliofariki katika kutafuta riziki.

Source: Jamii Forums


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...