Chanzo cha habari kiliieleza paparazi kwamba chanzo cha ajali hio ni baada ya Basi hilo kugongana na Roli la mizigo wakati basi hilo likitokea Dar kuelekea mtwara,
Likapoteza
muelekeo na kupinduka mita kadhaa kutoka barabarani istoshe kulikuwa na
utelezi mkali kutokana na mvua kubwa iliyonjesha mda mchache kabla ya
ajali.
Ndugu msomaji endelea kutembelea paparazi kuzidi kujuwa nini kinaendele kuhusu ajali hio.
Miili ya waliopoteza maisha katika ajali hiyo ikipakiwa kwenye gari.
BAADHI ya miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo wakiwa mtaroni.. Kwakweli inasikitisha sana.