ANGALIA PICHA: MAANDALIZI YA KUAGWA KWA MAREHEMU GEORGE TYSON KWENYE VIWANJA VYA LEADES

  Hapa ndipo jeneza lililobeba mwili wa Marehemu George Tyson litakapoka a kwa ajili ya kuagwa.
 Utaratibu huu umeandaliwa katika viwanja vya Leaders Club kwa lengo la kuwapa fursa wakazi wa jiji la Dar es Salaam  kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla ya kusafirishwa 
 Meza kuu hii ikiwa ni maandalia ya kuuwaga mwili wa George Tysonaliyefariki dunia kwa ajali ya gari na anatarajiwa kusafirishwa leo kwenda Kenya kwa mazishi. 
Picha na Pamoja Blog Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...