Bad news ni kwamba bila sababu ya msingi iliyotolewa ni kwamba ilibidi Masogange aigize kwenye movie iliyokuwa inaandaliwa na Nisha Film Company ya actress Nisha lakini the about to be actress haku-show up kwenye location. Sources zinasema kwamba Agnes alikuwa tayari kufanya movie kila kitu hadi mazoezi alifanya na script alipewa lakini hakutokea kwenye location ya movie hiyo.
“Labda alikuwa na matatizo yake binafsi ambayo yamemfanya
kushindwa kufika location. Kama imekua nje ya uwezo wake kiasi hiki
hakuna jinsi kwasababu kila kitu kilikua tayari ameshaanza kifanya
mazoezi hadi ya script. Movie hiyo ingeitwa Zena na Betina labda movie
nyingine tena lakini hatufanyi naye tena movie hii” – alisema mdau mmoja wa movie hiyo.