Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali za majengo ya Bunge
jijini Dodoma alikotembea kukagua majengo yanayokarabatiwa na kufanyiwa
marekebisho tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi
huu.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katika Bunge jijini
Dodoma alikotembea kukagua majengo yanayokarabatiwa na kufanyiwa
marekebisho tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi
huu.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi
inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini Dodoma
tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.
(PICHA NA IKULU)