AJALI MOROGORO : TRAFIK AGONGWA NA GARI MOROGORO.

Askari wa  kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Analijulina Bw Crispan 'Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala Barabara inayotoka Msavumu  kuingia katikati ya Mji wa Morogoro.Hii ni Mara ya Pili kwa Askari Huyo Kugongwa na Gari Mkoani Hapa.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...