DADA
huyu mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro alijeruhiwa vibaya sehemu za
usoni na kitu chenye ncha kali kikihisiwa kuwa ni kiwembe,
Tukio hilo lilijiri siku ya Jumapili Wiki iliyopita,
Chanzo cha habari kilieleza kuwa ugomvi ulisababishwa na wivu wa mapenzi.
Chanzo
hakikutaja jina laDada huyu wala mtuhumiwa mpaka sasa Dada huyu yupo
Hospitali ya wilaya Same. Taarifa zaidi endelea kufatilia hapa.