BREAKING NEWS:. WANNE WAUAWA MWANZA WAKIDAIWA KUIBA NG'OMBE

WATU wanne wameuawa na wananchi waliokuwa na silaha za jadi kisha kukatwa mapanga wakituhumiwa kuiba ng'ombe katika kijiji cha Igwambiti, Kitongoji cha Buhongwa, Kata ya Nyamagana, Mkoani Mwanza leo asubuhi.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...