Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa
(katikati), Andrew Chenge (kulia) na James Mbatia wakiteta jambo bungeni
mjini Dodoma leo Machi 31, 2014.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Anne Makinda ambaye ni Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akibadilishana mawazo na Spika wa Baraza
la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Kificho ndani ya bunge leo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)