PICHAZ..AJALI MBAYA YA MOTO...NYUMBA ZA POLISI ZATEKETEA MKOANI TANGA...!!

Jana mchana nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la chumbageni nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha chumbani jijini Tanga zaungua moto.

 Wananchi wakishuhudia na kusaidia vikosi vya zimamoto katika uzimaji moto huo.
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu akiwasili katika eneo la ajali.
Mh.Halima Dendegu akishuhudia ajali ya moto katika nyumba za polisi chumbageni,jijini Tanga hapo jana 
Mh.Halima Dendegu akishuhudia ajali ya moto katika nyumba za polisi chumbageni,jijini Tanga hapo jana
 Baadhi ya vitu vilivyookolewa katika ajali ya moto.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...